Uchaguzi 2020 NEC na ZEC Tumieni QR CODE na USSD Code kuhakiki Taarifa za Wapiga Kura

SHANTI

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2011
Posts
296
Reaction score
365
Zoezi la uhakiki wa taarifa za mpiga wapiga kura wapya linafanyika sehemu mbalimbali Tanzania.
Zoezi hili kinakwenda taratibu kana kwamba hatuna mifumo inayoweza kurahisha kazi na badala yake muda mwingi unapotea na malalamiko yanaongezeka.

Kupanga foleni imekuwa ndio utaratibu wa kupata huduma na kutoa dosari zoezi zima la uhakiki wa taarifa za mpiga kura.

Binafsi nungewashauri Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC ,kuhakiki taarifa hizo kidijitali Kama ambavyo teknolojia inavyotaka.

Nashauri mkurugenzi wa NEC kuwa huu Ni wakati muafaka wa kuitumia USSD short code kuhakiki majina na vituo na Kama mtu amehama apewe fursa ya kuchagua kituo kipya.

Lakini pia anaweza kuitumia QR Code kumaliza kabisa zengwe na manung'uniko kwa sababu mfumo wa NEC una uwezo kuhakiki taarifa kwa hizo njia mbili na tutaokoa muda.

NIDA walifanikiwa kutuletea short code ya vitambulisho vya Uraia wakati wa kupata vitambulisho na Usajili wa laini za simu na aghalabu Kila mtu alitumiwa namba yake ya NIDA.

Wito kwa mkurugenzi wa time ya Taifa ya Uchaguzi kaa kikao na timu yako ya tehama na historia itakukumbuka kwa kutuondolea foleni na kero za kuhakiki majina.
 
Tumesha hakiki hatutatumia mambo ya mabeberu
 
Tumenunua mfumo kwa fedha nyingi Sana lazima mfumo utusaidie na sio kuendeleza matatizo ya zamani.

Tupate thamani fedha kwenye uwekezaji.
 
Back
Top Bottom