Elections 2010 NEC sasa yagoma kuwalipa mawakala

Elections 2010 NEC sasa yagoma kuwalipa mawakala

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Posts
219,468
Reaction score
911,184
Kinyume na makubaliano kati ya vyama vya siasa na NEC katika dakika za lala salama kuelekea uchaguzi NEC wamegoma kuwalipa mawakala na kuwatupia zigo hilo vyama husika.

Leo kiongozi mmoja wa NCCR MAGEUZI alionekana Channel Ten jioni hii akilia na NEC kwa kukiuka makubaliano yake na vyama vya siasa.

Zimekuwepo shutuma nyingi dhidi ya NEC kuyachakachua matokeo na kuwanufaisha CCM na hili ni jipu jingine ambalo laweza kupasuka wakati wowote ule.

Mawakala wa vyama vya siasa ndiyo inasadikiwa ni karata turufu ya kumwokoa JK na CCM kutoka kwenye kibanio cha kudhalilishwa vibaya na Chadema kwenye chaguzi hii.

Hivyo kutowalipa mawakala yawezekana kabisa kuwa ni njama ya kuwaweka mawakala hao katika hali ya tafurani ambayo endapo vyama vyao vikishindwa kuwalipa CCM ikawalipa na hivyo kuzua utata wa wanawajibika kwa nani na hivyo kuufanya uchaguzi huu kutokuwa wa huru na wa haki.

Pamoja na Mwenyekiti wa NEC kuahidi chaguzi hii kuwa ya huru na haki yapo matendo mengi ya NEC yanayoashiria kuwa nia hii siyo ya dhati na kutoka moyoni.

Zimekuwepo kauli za kutofautiana kati ya NEC na wasimamizi wa chaguzi majimboni na hili NEC imeshindwa kuwakemea wasimamizi hao au hata kutoa mwongozo unaoeleweka hususani kwenye eneo la wapigakura kuwa mita 100 kutoka vituo vya kuhesabia kura kuhakikisha haki inatendeka........Msimamizi wa Tarime amedai wapigakura wajiendee majumbani na watajulishwa matokeo jambo ambalo Naibu Mwenyekiti wa NEC tayari alikwisha kutoa mwongozo tofauti kabla ya hapo alipouulizwa swali na mgombea ubunge wa jimbo la Bukoba mjini Bw. Rwakatare..........NEC walisema ni ruhksa kwa wapigakura kuwa mita 100 kutoka vituo vya kupiga kura............
 
Ni njama tu ili kupunguza nguvu ya CHADEMA. Wanajua CCM imejikusanyia fedha nyingi za kiufisadi na wanaweza kuwalipa mawakala na kuwaonga walalahoi. Kwani hujui NEC ndo CCM?
 
this was not unexpected... lots of money involved by a corrupt system to finish off vichwa ngumu

lets wait for 2015, inshallah
 
Ni njama tu ili kupunguza nguvu ya CHADEMA. Wanajua CCM imejikusanyia fedha nyingi za kiufisadi na wanaweza kuwalipa mawakala na kuwaonga walalahoi. Kwani hujui NEC ndo CCM?
si chadema pekee hata kafu zanzibar na bara, tusisahau kafu ni chama muhimu sana

CCM is very smart, bilioni 70 kwa miraji, vijisenti kwa uchaguzi na mawakala

LOL
 
hatuhitaji watulipe, kama wanataka wawalipe mawakala wa CCM, sisi tutajilipa wenyewe, KURA NI ZETU MALIPO YA NINI? TUTALINDA KURA ZETU KWA GHARAMA ZETU.
 
Ndiyo maana tunasema tena, na nimeshauri ktk thread nyingine kuhusu mawakala kutokulipwa. Majibu ni haya.
MOJA: TUME ISHITAKIWE KWA UMOJA WA ULAYA- EU, NA WAFADHILI AMBAO NDIO WALISHATOA FEDHA ZA UCHAGUZI NA PIA WASHITAKIWE MAHAKAMANI.

PILI, VYAMA VIANDAE MAANDAMANO YA AMANI HARAKA, WAWASILISHE UKIUKWAJI HUU KWA UMOJA WA ULAYA, UBALOZI WA MAREKANI WAUJUE UNAFIKI NA UOZO HUU NA PIA KESI MAHAKAMANI.

TUME KWA MBINU HII YA UOVU, INAISAIDIA CCM ISHINDE KWA WIZI NA KUHONGA MAWAKALA.
 
Dr alisema jana ulinzi wa kura ni kazi yetu achana na mawakala
 
hatuhitaji watulipe, kama wanataka wawalipe mawakala wa CCM, sisi tutajilipa wenyewe, KURA NI ZETU MALIPO YA NINI? TUTALINDA KURA ZETU KWA GHARAMA ZETU.
wewe unaongea hivyo kwasababu haupo kwenye ground.. tumezoea

bila pesa kura zinaibiwa... hebu niambie wewe ni wakala wa wapi?? au ndio walewale mavuvuzela??

You have posted something that shows you are not on teh ground

bila pesa za wakala kura huna

njaa kali
 
Ndiyo maana tunasema tena, na nimeshauri ktk thread nyingine kuhusu mawakala kutokulipwa. Majibu ni haya.
MOJA: TUME ISHITAKIWE KWA UMOJA WA ULAYA- EU, NA WAFADHILI AMBAO NDIO WALISHATOA FEDHA ZA UCHAGUZI NA PIA WASHITAKIWE MAHAKAMANI.

PILI, VYAMA VIANDAE MAANDAMANO YA AMANI HARAKA, WAWASILISHE UKIUKWAJI HUU KWA UMOJA WA ULAYA, USA NA PIA KESI MAHAKAMANI.

TUME KWA MBINU HII YA UOVU, INAISAIDIA CCM ISHINDE KWA WIZI NA KUHONGA MAWAKALA.
do you trust EU??? unadhani hao richmond, tanzania one, GGM etc wanapata wapi sapoti

wake up buddy
 
wewe unaongea hivyo kwasababu haupo kwenye ground.. tumezoea

bila pesa kura zinaibiwa... hebu niambie wewe ni wakala wa wapi?? au ndio walewale mavuvuzela??

You have posted something that shows you are not on teh ground

bila pesa za wakala kura huna

njaa kali

ACID njaa ya watu haipo kwenye uwakala, njaa ya watu ipo kwenye mabadiliko, na hili km huliamini subiri uchaguzi upite. chaguzi ndogo za Tarime pamoja na nguvu kubwa ya CCM bado walishindwa, KUMBUKA TARIME YA JUZI NDO TANZANIA YA LEO.
 
do you trust EU??? unadhani hao richmond, tanzania one, GGM etc wanapata wapi sapoti

wake up buddy

Guys, the concept behind this ni kuwa, the matter is made kwown to the whole world rather than assuming that here is no impact that can be made. Something is greater than nothing. these people need to be fully exposed.
 
Jamani jambo hili ni la msingi sana hasa maeneo ya vijijini. Unajua Tshs 10,000 kwa watu wa vijijini ni sawa la milioni kwa watu wengine. Nafikiri hoja hii ya NEC kutowalipa mawakala ni njia muhafaka ya kuutengenezea ushinsi CCM. Nina uhakika mawakala wengi wa vijijini kama watashindwa kulipwa ni rahisi sana kushawishiwa kuchakachua matokeo. Kuna haja ya kuliangalia suala hili kwa kina
 
Jamani hela ya mawakala ni muhimu sana. Hilo ni tengo la CCM. wapinzani wakomae na NEC. hela ipatikane else sijui kama kuna means zingine za kupata hizo hela.
 
Kinachowatia hofu NEC ni hii hali anayokumbana nayo bosi wao. lazima walinde mkate wao atii.

Jakaya Kikwete's Profile
Jakaya Kikwete Vijana ni nguvu ya taifa katika kulijenga,kulilinda na kuliendeleza.

7 hours ago · Comment · LikeUnlike
  • Ernesto Sheka and 58 others like this.
  • 50 of 93

    • Mohamed Muashkoki Sadat,itakuwa bomba saaaana.Mi nitakuwa facebook!!!Wera wera7 hours ago · LikeUnlike · 2 peopleLoading... ·

    • Hamisi Ramadhani Uko sawa kabisa mkuu,me kura yangu umeipata boss.7 hours ago · LikeUnlike · 1 personLoading... ·

    • Mohamed Muashkoki Timba ni aje?Maboresho Umbwe Sec. ulipokuwa unasoma yamefanywa na mfuko wa Bilicanas??7 hours ago · LikeUnlike · 1 personLoading... ·

    • Abeid Said Abeid bulilo unaongea kama hayatoki mdomoni?hw capble is ur brain functioning7 hours ago · LikeUnlike · 3 peopleLoading... ·

    • Lusajo Ponald MBONA AJIRA NI ZA KUJUANA HIVYO WASIO NA VIGEZO WANAAJIRIWA NA WENYE VIGEZO TUKO HOME.VIJANA TUTAJENGA TAIFA VIP? 7 hours ago · UnlikeLike · 1 personLoading... ·

    • Suhail Thakur very true sir! kura yandu ipo tayari inakusubiri 31 oct! ushindi wetu ni uhakika!!7 hours ago · LikeUnlike · 2 people2 people like this. ·

    • Zawayayi Christian Tusidanganyike vijana. Tufanye mabadiliko vijana. Wengine sisi toka kuzaliwa hadi sasa naisikia ccm tu na viongozi wake walaghai. Hata hawa wengine wanaweza jamani.
      Hebu tufanye uamuzi ulio bora zaidi,tutoe nafasi kwa vyama vingine kwa ki...pindi hiki cha miaka 5 ijayo tuone matokeo. Mbona wenzetu Marekani, uingereza n.k. Watoa nafasi kwa vyama vingine wanapoona chama tawala kimevurunda? Tubadilike watanzania.See More
      7 hours ago · LikeUnlike · 5 peopleLoading... ·

    • Ally Saidy Bora umesema ww coz vijana wenyewe ndio vi front front ktk kuangamiza maendeleo!6 hours ago · LikeUnlike ·

    • Nazir Sadru ‎@ken de kileo ukombozi wako uko mikononi mwako mwenyewe fikiria uanzishe nini start small utafanikiwa mfano nenda kenya sehemu moja inaitwa eldoret utaona magari ya bei kubwa hammer,Bmw,Benz , zote ni za wana riadha na wote wana degrees na wanaanzisha camp za mazoezi zao wenyewe bila msaada wa serikari .6 hours ago · LikeUnlike · 3 peopleLoading... ·

    • Albert Shirima Wow Mr RIGHT President!!!!!sio kwamba vijana watakuwa wamefurahi tu bali hicho ndicho walikuwa wakikisubiri
      GO KIKWETE GO!!!!!!!6 hours ago · LikeUnlike ·

    • Abeid Said Abeid kelvin inaonekana bado mtoto na kama ni mtu mzima basi unaakili za kitoto.chunga kauli, na ulimi vinapoza6 hours ago · LikeUnlike ·

    • Hans Pope ndio mkubwa ushindi ni wako6 hours ago · LikeUnlike ·

    • Sadat Than Mohamed Muashoki unatisha huyo anae ngangania midahalo hata wewe unamtosha6 hours ago · LikeUnlike · 1 personLoading... ·

    • Mathias Joseph Kila mwenye pumzi na akapigi kura.acheni6 hours ago · LikeUnlike ·

    • Sasha Matty ni kwel lakini utawawezesha vipi? ajira hakuna, ajira mnawapa watu weupe!!..6 hours ago · LikeUnlike ·

    • Frank Kassongo Nice spoke words, but how will the youth be the pillar of the Nation if they are not given a chance to be in management position?...now our days in this 21st century PARTICIPATIVE MANAGEMENT is the core value of an organisation success being it a government, formal or inforaml organisation. I so wishe u will look at thia point whe u are given the 2nd term...good luck with ur journey and bring the gorvnance in the hand of the people that u will be leading JK.6 hours ago · LikeUnlike ·

    • Albert Shirima ‎@Mohamed Abbas,,,,,if u ve failed to stand for urself how u can stand for the others???
      Watu wanaofuta upepo Kama ww hawatufai CHAMANI!!!6 hours ago · LikeUnlike ·

    • Said Mateso Kwa hiyo?6 hours ago · LikeUnlike ·

    • Nazir Sadru ‎@sasha ufumbuzi ni self employment Tz bado kuna oppotunitz mfano kiwanda kidogo cha recycle takataka kibao miji yote serikari imetoa leseni kwa mabenki sio kuweka pesa na kukopa pia, na haya ndio wa tz tunapaswa kuwa tunabadilishana mawazo sio siasa kazi ya siasa ni kutufagilia njia .6 hours ago · LikeUnlike · 1 personLoading... ·

    • Mдттнîдs Яíсндяd Mkuu jaribu kushughulikia challenge unazopata toka kwa wapinzani. Sometimes wana hoja za msingi na za kipekee...
      Nyie wapinzani mlioko huku kwa JK, washaurini wagombea wenu endapo watashindwa wasiende kulalia hizo sera zao. Washirikiane na ...serikali, kwa pamoja tutafikia malengo...
      Kila la heri.See More
      5 hours ago · LikeUnlike · 1 personInnocent Mushi likes this. ·

    • Albert Shirima ‎@Mohamed Abas,,,,,Unaonyesha udhaifu hapo!!!!hata mm CCM ni chama changu na ww,,,hata mm naona mapungufu ndani ya CCM lkn nipo imara na ntapenda nione mabadiliko ndani ya CHAMA.....Lazima sisi wenyewe tujisimamie na tulete mabadiliko sasa tukikimbia si ndio tunajiongezea matatizo?????Rudi tujenge CHAMA5 hours ago · LikeUnlike ·

    • Saeed Al-Aweny sanaaaaaaaa muheeeshiiiiimiwaaaaaaaaa vijana 2nakupaaa kura asilimia mia, Chadema na slaa waoooo wameleta udini hawapati ki25 hours ago · LikeUnlike · 1 personLoading... ·

    • Mдттнîдs Яíсндяd jaman mkahakikishe majina yenu kwenye vituo mlivyojiandikisha...5 hours ago · LikeUnlike ·

    • Noel Gustav ‎@saeed al..we unaturudisha kulekule.Hiyo chadema unayoijua wewe ipo vatcan au middle east sio Tanzania.
      @Mathias mi nasikitika tu,kuna vijana wapo huku wanasema hawataenda kupiga kura,wengine laivu kwenye t.v wanasema hata hawakujiandikisha...!.See More
      5 hours ago · LikeUnlike · 1 personLoading... ·

    • Muba Kanyama kaka si kwamba watu wanaichukia ccm..., ila watu wanachotaka ni kuwaamsha wasaidizi wako..!! wamejisahau sana kwa kweli. watu wanakupenda ila wasaidizi wako ndio wanakuangusha...!! mbaya zaidi hawakupi ushauri mzuri na muda mwingi wanakudanganya kwa ajili ya kulinda vyeo vyao!!5 hours ago · LikeUnlike · 1 personLoading... ·

    • Zoka Paul Vijana wamekuwa hawalilindi taifa kwan wengi wao tokana naukosefu ajira wameongezeka wezi,waporaji,wakabaji&wabakaji,matapeli n.k hvyo nguvu kaz ime2mika kulidumaza taifa kimaendeleo hasa yawa2'pia nguvu zao vjana zinamalizwa na pombekali haramu hasa gongo,siagara,bangi&madawa ya kulevya&ukimwi ndo kilak2 kila ukoo waMTZ kuna m2 anaugua/kafa nao hasa vjana'vijana wameli kongoroa taifa kisa uchafu&ubnafsi&ufnyu wa mawazo wa wana ccm&serikali yao dhalimu.4 hours ago · LikeUnlike ·

    • Muba Kanyama watu wako wa karibu wengi ni wanafiki kaka!! ila tunashukuru vugu hili la mwaka huu litawaamsha. muda wote wamekuwa wanahisi kuwa tz ni yao pekeyao!! mimi nitapigia chadema ili kuongoza msisimko wa bunge!!4 hours ago · LikeUnlike ·

    • Noel Gustav ‎@albert kwi kwi kwi!..hivi kuna watu wana-degree alafu wapo kijiweni?..Aisee vijana we're kidin,hii hali sio nzuri kabisaaa..hizi degree za wapi jamani?..kijiweni hapo hapo au CHUO KIKUU?.4 hours ago · LikeUnlike ·

    • Albert Shirima Watu wengine wanakirupuka tu kuandika humu ndani......@Noel Gustov
      Labda ili waonekane wana degree4 hours ago · LikeUnlike ·

    • Lizbeth Moses Ari zaidi, nguvu zaidi na kasi zaidi. Chagua CCM chagua Kikwete!4 hours ago · LikeUnlike ·

    • Emmanuel Joseph NI KWELI KABISA MR PRESIDENT. UTATUWEZESHA VP SISI TUSIOKUWA NA MITAJI ILI TUJIKWAMUE KIUCHUMI?4 hours ago · LikeUnlike ·

    • Musobi William Hakuna mgombea anae kufikia!
      Hakika hao wanao jaribu kukuchafua wanapoteza muda wao bure!
      Wewe ndiye rais wangu na rais wa Jamuhuri ya Muungano wa TANZANIA!
      Huyo mropokaji wa vidole viwili hana sera zaidi ya ubabaishaji!
      CCM ndio Chama Changu.4 hours ago · LikeUnlike · 1 personLoading... ·

    • Elibariki Kilewo Tax holiday for young Tanzania businessmen.. As a good will and encouragement, in fact they are paying enuf indirect tax as it is why not showing them a little love by taxing their business less...4 hours ago · LikeUnlike ·

    • Innocent Mushi HIVI FACEBOOK YA RAIS INAANDIKWA NA NANI? ERNESTO SHEKA?NAZIR SADRU,SUHAIL THAKUR,NOEL GUSTAV,ISSA MIKIDAD,JAMES TENGIA,ADELA MASSAWE,ALBERT SHIRIMA,AU mzee wa kabaaa!MOHAMED MUHASHOKI.nyie MNASHINDANA NA UMMA?3 hours ago · LikeUnlike ·

    • Twahil Mnaunda Saeedy ni dini gani imeletwa na chadema 2fumbue macho wenzio maana nackia 2 udini3 hours ago · LikeUnlike ·

    • Albert Shirima ‎@Elibariki Killewo,,,,,sijaelewa labda lugha kaka,mi ninafahamu tax holiday na less tax ni vitu viwili tofauti
      Tax holiday,kipindi mtu anachopewa muwekezaji au mtu anayeanza biashara kubwa
      Less tax,mtu analipa kiwango kidogo cha kodi na hii ...pia wakati wa kuanza biashara
      Sifikirii Kama serikali inaweza kufanya vyote kwa pamoja lkn mm kwa kuongezea hapo labda watu wanaopewa mikopo midogomidogo basi wapewe muda kidogo at least miezi mitatu ndio waanze kulipa sio mtu anakopa mwezi huu na mwezi ujao anaanza kulipa mkopo wenyewe 300,000 mmh hatuwezi kutoka kabisaaaaaaaaa!!!!! See More
      3 hours ago · LikeUnlike ·

    • Abeid Said Abeid innocent mushi isije ikawa unampigie debe mgobea kisa mchaga.hatutafika kaka.wachaga tunawajua mtatuharibia nchi mkishika madalaka kilakitu mtapeleka kwenu.the mentality of dis pipo is strange live with them u wil knw how they are.3 hours ago · LikeUnlike · 1 personLoading... ·

    • Seif Salu na wazee..! ndio wala nchi au..? cc vjana ndio 2takaobadil uongoz cfa zote 2nazo kwel vjana! 'acfiae mvua imemnyeshea au itamnyeshea' 2 hours ago · LikeUnlike ·

    • Mohamed Muashkoki Kabaaaaaaaaa🙂Mushi muota ndoto,Mnaunda nenda kaombe list ya viongozi usome na pia jifunze kuhusu upadri kwamba daima hubaki upadri.Shirima tunasonga.2 hours ago · LikeUnlike ·

    • Amedeus Ladislaus Lyimo. TUNATAKA BATI BUKU TANO NA CEMENT BUKU TANO,VIJANA NGUVU KAZI NDIO ILA KWA MISHAHARA YA CHINI TUTAWEZAJE MAISHA?BEI YA SUKARI TU MTIHANI INAZIDI PETROLI INAYOTAFUTWA NA KULETWA NCHINI KWA MAMILIONI YA PESA.2 hours ago · LikeUnlike ·

    • Innocent Mushi Abeid Said abeid mwaka huu hatuna mgombea urais ambaye ni Mchagga. Kama yupo naomba nitajieabout an hour ago · LikeUnlike ·

    • Karim Asbawi Kikwete songa mbeleabout an hour ago · LikeUnlike ·

    • Aron Kidyalla Huyu Dr Slaa mbona anataka kutunyanganya ulaji?Watu wanamfagilia sana,why?Huku kwetu Masaki watu wanalazwa kwa bp!mtataka kujua mikwanja tunayospend huku tumetoa wapi!Inabid wana mapinduzi mtusaidie,ikibidi tuwaibie babake.Au unasemaje bw sadru na muashkok? about an hour ago · LikeUnlike ·

    • Ibrahim Majebelle Mayenga wawezeshe mkuu vijana wako wakoimara wana vision, wako inteligent na wanania ya kulijenga taifa lao. wanaweza chamuhimu ni kuwatambua.about an hour ago · LikeUnlike ·

    • Suhail Thakur oya wazee naomba niulize,hivi nasikia chadema imeingiza udini?naona kila mmtu anasema hivo! Je hivi kutatokea nini iwapo udini unachanganywa na siasa? about an hour ago · LikeUnlike ·

    • Albert Shirima ‎@Suhail,,,,,Duuh!!!haifai kabisa na hatari sana,si udini na siasa hata ukabila na siasa pia ni BALAA kubwa,tuombe Mungu atuepushie hilo na kama kuna kitu kama hicho kifutwe embu angalia Kenya tu,,,,,,,,
      Hii naona kama ni mada tete sana lkn ...tuombe serikali ifanye faster kukifuta chama na viongozi wake wasishiriki tena kwenye siasa ya TZ na huu ni mtazamo wangu binafsi,,,
      Lkn kuna ukweli hapo??hata kama watu wame-publish nayo ni hatari ukiangalia madhara au matokeo yake!!!!!See More
      49 minutes ago · LikeUnlike ·

    • Muba Kanyama sioni hoja hapa..., ninyi nyote mnajipendekeza kwa bro...!!34 minutes ago · LikeUnlike ·

    • Mдттнîдs Яíсндяd na hii je, mmeshaipata:
      FW:
      From: +25570781639
      Msg: CHADEMA wametekeleza ahadi ya kumwaga damu.Juzi wamemuua ndugu wa mgombea wa CCM Maswa.Mjumbe wa kampeni ya SLAA amekamatwa.Tuwakatae CHADEMA wamwagaji Damu.
      msg centre no: +255780000096
      22 minutes ago · LikeUnlike ·

    • Suhail Thakur ‎@albert, tuombe mungu isitokee hivyo maana itakuwa balaa saana! Mi nangoja tu siku ya matokeo jk atakavyoapishwa na ndio kutakuwa na uhakika wa amani na utulivu, mungu atuwezeshe uchaguzi upite salama . Ameen20 minutes ago · LikeUnlike ·

    • Desmond Mgombela Ndiooo rais unaeongoza kwa kudanganywa dunian.,17 minutes ago · LikeUnlike ·

 
Back
Top Bottom