Oktoba 31, 2010 kulifayika uchaguzi Tanzania. Matokeo ya uchaguzi yametoa yafuatayo:
1. Matokeo ya kura za wananchi dhidi ya kura za NEC.
2. Wagombea waliochaguliwa na Wananchi na wagombea waliochaguliwa na NEC.
Matokeo ya hayo yote ni mshangao wa kile kilichokuwa`kikitangazwa`na`NEC na katika maeneo mengine wananchi waliwashinikiza`Wasimamizi wa NEC kutangaza matokeo ya kura zao siyo zile za NEC
Ni wageni tu watakaoshangaa comments zako.Was it the first time for NEC kuchakachua, au mliingia kwenye uchaguzi mkijua NEC ni fair? people have been crying for ages in almost all past multparty elections! leo unalalamika NEC what an historical shame on us??
wewe msikie Slaa na team yake mpaka mtakapokuja kujua hawa ni maslahi mbele ndiyo mtajua kuwa kumbe hatuna na tulikuwa hatuna wapinzani! leo wanasema watadai tume huru ya uchaguzi, poor Tanzanians! wasted effort again in 2010!!!
Ni wageni tu watakaoshangaa comments zako.