Elections 2010 NEC Watamaliza kutoa matokeo alhamisi

Elections 2010 NEC Watamaliza kutoa matokeo alhamisi

IHOLOMELA

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
1,807
Reaction score
1,675
Wadau mnaona wizi wanaotaka kufanya hawa Mafisadi? Yule kibabu wa NEC bw. MAKAME kasema kuwa eti matokeo yote yatakamilika baada ya Siku mbili zijazo. Kwanza waliahidi ndani ya siku tatu watatanganza, sasa hivi wamebadilisha zimeongezeka na kuwa siku tano. Hili mwalionaje kama sio KUCHAKACHUA kura za WaTANZANIA waliochoshwa na ukoloni wa Mafisadi?
 
Back
Top Bottom