Elections 2010 Nec watoe maelekezo juu ya kupiga kura nje ya kituo ulichojiandikisha.

Elections 2010 Nec watoe maelekezo juu ya kupiga kura nje ya kituo ulichojiandikisha.

omuhabhe

Member
Joined
Sep 27, 2007
Posts
35
Reaction score
1
Kama Mtanzania mwingine ambaye sijapata uelewa mzuri juu ya kupiga kura kwa Rais kama niko nje ya kituo nilichojiandikisha kwa sababu mbalimbali zikiwemo za kuuguza wapendwa wetu mahospitalini.
kumekuwa na mabishano kwa wadau mbalimbali kuwa unapiga kura na wengine wanasema hutapiga
kura hebu NEC yetu weka mambo hayo clear.
Kwani sehemu yoyote ile ndani ya mipaka ya TZ ni jimbo la mgombea Urais SAWASAWA.
 
Back
Top Bottom