Elections 2010 NEC ya CCM msiwachagulie Watanzania Rais, vinginevyo JK hatutamtambua kabisa

Elections 2010 NEC ya CCM msiwachagulie Watanzania Rais, vinginevyo JK hatutamtambua kabisa

Watanzania

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2009
Posts
727
Reaction score
44
NEC ya CCM ambayo inajiita NEC ya uchaguzi, msituchagulie watanzania Rais, tunajua watanzania wamemchagua Dr. Slaa kuwa Rais wao. Mkilazimisha kumtangangaza JK, huyo atakuwa Rais wenu NEC, hatutamtambua. Rais wa Watanzania ni Dr. Slaa.
 
Back
Top Bottom