W Watanzania JF-Expert Member Joined Jul 7, 2009 Posts 727 Reaction score 44 Nov 4, 2010 #1 NEC ya CCM ambayo inajiita NEC ya uchaguzi, msituchagulie watanzania Rais, tunajua watanzania wamemchagua Dr. Slaa kuwa Rais wao. Mkilazimisha kumtangangaza JK, huyo atakuwa Rais wenu NEC, hatutamtambua. Rais wa Watanzania ni Dr. Slaa.
NEC ya CCM ambayo inajiita NEC ya uchaguzi, msituchagulie watanzania Rais, tunajua watanzania wamemchagua Dr. Slaa kuwa Rais wao. Mkilazimisha kumtangangaza JK, huyo atakuwa Rais wenu NEC, hatutamtambua. Rais wa Watanzania ni Dr. Slaa.