MWALLA JF-Expert Member Joined Dec 12, 2006 Posts 16,952 Reaction score 10,500 Nov 26, 2020 #141 mama D said: Kama wamegomea viti maalum waachwe. Kazi ya kuwakilisha wananchi haihitaji kulazimisha wala kulazimishwa Maendeleo hayana vyama Click to expand... shwain fakur
mama D said: Kama wamegomea viti maalum waachwe. Kazi ya kuwakilisha wananchi haihitaji kulazimisha wala kulazimishwa Maendeleo hayana vyama Click to expand... shwain fakur
MWALLA JF-Expert Member Joined Dec 12, 2006 Posts 16,952 Reaction score 10,500 Nov 26, 2020 #142 mama D said: Jambo jema kabisa mkuu Click to expand... kamuulizeni yule mgonwa wenu NDUGEY alikuwa anawapisha kinanani pale kwenye hema mlilotengeneza kwa aili ya usanii wenu
mama D said: Jambo jema kabisa mkuu Click to expand... kamuulizeni yule mgonwa wenu NDUGEY alikuwa anawapisha kinanani pale kwenye hema mlilotengeneza kwa aili ya usanii wenu
Mbase1970 JF-Expert Member Joined Jun 11, 2015 Posts 6,054 Reaction score 4,604 Nov 26, 2020 #143 Turnkey said: Habari za wapi ndugu Click to expand... Buza
F Fundi Mchundo Platinum Member Joined Nov 9, 2007 Posts 10,448 Reaction score 8,705 Nov 26, 2020 #144 Turnkey said: Habari za wapi ndugu Click to expand... Sio peke yangu nilioamini kuwa Esther Bulaya hawezi kufanya aliyofanya. Tulikosea na bila shaka huko mbeleni kuna mahali tutakosea tena. Haikuwa mara ya kwanza ( niliamini kwa dhati Sumaye hawawezi kurudi CCM) na haitakuwa mara ya mwisho. Amandla...
Turnkey said: Habari za wapi ndugu Click to expand... Sio peke yangu nilioamini kuwa Esther Bulaya hawezi kufanya aliyofanya. Tulikosea na bila shaka huko mbeleni kuna mahali tutakosea tena. Haikuwa mara ya kwanza ( niliamini kwa dhati Sumaye hawawezi kurudi CCM) na haitakuwa mara ya mwisho. Amandla...
Billie JF-Expert Member Joined Aug 13, 2011 Posts 13,588 Reaction score 22,752 Dec 2, 2020 #146 CHADEMA pelekeni majina tofauti kabisa na wale masnitch wenu ili hili jambo liwe la moto kwa TUME
C canular JF-Expert Member Joined Jan 7, 2018 Posts 889 Reaction score 874 Dec 2, 2020 #147 nguvu said: Huku nafsi yako inakusuta Click to expand... Kuna viazi vingi vina kera sana humu if