Uchaguzi 2020 NEC yakubali rufaa 47 nyingine za Udiwani

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
1600180903703.png

1600180914468.png

1600180921945.png
 
Nawaomba Sana Watanzania wote kwa pamoja tuipongeze Sana , Sana Tume hii ya Uchaguzi ! Nina imani kubwa Sana na Mheshimiwa Kaijage pamoja na Mkurugenzi wa Tume Dr Mahera ! MUNGU awabariki Sana Wajumbe wote wa Tume .
 
bado Majaliwa na Nape , watalimia meno safari hii , ujanja ujanja wa kishamba baaasiii

Pia wakupara magamba, supika na yule waziri wa miundo mbinu na wote waliosemekana kusubiria kuapishwa.

Wanaogopa nini? Si wanasema wanakubalika?

Hii pitaji bila kupingwa ingetenguliwa tu.

NEC fanyeni kweli historia inawaangalia.
 
Tumpongeze Sana Mheshimiwa Rais
Nawaomba Sana Watanzania wote kwa pamoja tuipongeze Sana , Sana Tume hii ya Uchaguzi ! Nina imani kubwa Sana na Mheshimiwa Kaijage pamoja na Mkurugenzi wa Tume Dr Mahera ! MUNGU awabariki Sana Wajumbe wote wa Tume .
Tumpongeze Sana Mheshimiwa Rais John Magufuli kwa kuwateua Wajumbe bora Sana waliounda Tume hii ya Uchaguzi safari hii !
 
Tutampongeza Mh Lissu aliyetuonesha Ujasiri wa kutosha na kwamba kumbe inawezekana bwana.
 
Tumpongeze Sana Mheshimiwa Rais
Tumpongeze Sana Mheshimiwa Rais John Magufuli kwa kuwateua Wajumbe bora Sana waliounda Tume hii ya Uchaguzi safari hii !
Hakuna wakati tume imeshindwa kufanya kazi zake kwa weledi. Ni mihemuko ya wapinzani walikuwa hawatati kufuata taratibu za kisheria kama walivyofanya safari hii. "USIPO RIDHIKA NA MAAMUZI ya ngazi ya chini Unakata RUFAA" badala yake walikuwa wanaweka mpira kwapani.
 
Tume bwana eti Mgombea anaporwa fomu mbele ya ofsi za NEC na wanakaa kimya. Huu uhuni mwisho ni 2020. Na watawarudisha tu watake wasitake.

Sec Pompeo kashafanya yake.
 
Walikuwa wanajaribu. Huyu ni Lissu bwana hajawahi kushindwa. Historia imemuonesha hivyo
Hata siwashangai, binafsi nilimchukulia Lissu poa lakini nakiri kutokujua ni ujinga...nimebaki kumwomba Mungu November ifike tuanze upya.
 
Lissu nimemkubali toka mwaka 2010. MEe ilichelewa sana. Lakini bado unaweza kuwa kama yeye ukiamua. Ujasiri una gharama zake lakini mara nyingi 80% una multiple benefits
 
Back
Top Bottom