Jana nimeletewa barua hii baada ya Kamati ya maadili kuketi, wamenihukumu bila hata kuniandikia tuhuma zangu wala kuniita kujitetea kwenye Kamati. @TumeUchaguziTZ fundisheni wasimamizi wenu kufata kanuni za Uchaguzi na Maadili ya Uchaguzi.#SitaombaRadhi.