Uchaguzi 2020 NEC yawaapisha Mawakala wa Wagombea Urais, wakala wa ACT-Wazalendo ashindwa kutokea

Uchaguzi 2020 NEC yawaapisha Mawakala wa Wagombea Urais, wakala wa ACT-Wazalendo ashindwa kutokea

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Tume ya Uchaguzi leo imewaapisha mawakala watakaosimamia zoezi la kuhesabu kura za wagombea Urais.

Katika zoezi hilo wakala wa ACT Wazalendo hakuwepo ukumbini na ikaelezwa baadae kuwa ACT Wazalendo haina Wakala.

Chanzo: ITV Habari

Maendeleo hayana vyama!
 
Hii ina maana gani kwa ACT?? Ufafanuzi please
 
Back
Top Bottom