johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Maana yake usimpigie kura mgombea wao sababu anaunga juhudi za TAl kwaio kura yako mpigie Tundu Antipus Lissu hiyo kesho...Hii ina maana gani kwa ACT?? Ufafanuzi please
Membe hana wakala hivyo taarifa za kura alizopata atapewa siku ya kutangaza matokeo!Hii ina maana gani kwa ACT?? Ufafanuzi please
Kwahiyo Chadema mnasimamia kura za Membe?Wa ACT atawakilishea na wa chadema haina shida.
NdioKwahiyo Chadema mnasimamia kura za Membe?
Haya!Ndio
Sijui MATAGA watakuelewa!,Maana yake usimpigie kura mgombea wao sabu anaunga juhudi za TAl kwaio kura yako mpigie Tundu Antipus Lissu hiyo kesho...
MATAGA ni mzigo kwa taifa hili mkuu.. Wakija hapa ni matusi tu!Sijui MATAGA watakuelewa!,
Membe hana wakala hivyo taarifa za kura alizopata atapewa siku ya kutangaza matokeo!
Maembe yanaangukaMembe ana uhakika wa kushinda
Atampa Tundu Lissu nafasi katika serikali yake kwakua amemuona anafaa.Maembe yanaanguka
Tehe tihi toho tuhu tuhuAtampa Tundu Lissu nafasi katika serikali yake kwakua amemuona anafaa.