Kila mara nauliza hapa je tufanyeje? maana maneno meeengi JF lakini yanaishia kwenye keyboard. Hakuna jipya.
Lakini kwa kuwapa burudani hatuna mpinzani.
NI swali zuri sana Hollo. Kwanza CCM imedunisha maisha ya wananchi, ikilinganishwa na aliyoacha mkoloni. Inakumbatia ufisadi na rushwa taofauti na ilipochukua madaraka, inawalinda watu ambao hawakutakiwa kulindwa. Hata chaguzi zake zinaendeshwa kwa pesa za wizi.
Najua unaweza kusema CCM isihusishwe na mafisadi, lakini hii itakuwa lame comment kwa sababu huwezi kusema fisadi alaumiwe kama fisadi na sio kwa kuwa mwanaCC. Ukumbuke kuwa CCM is made up of members, and not members are made up of CCM. This means their actions including in their "private" capacity have direct impact to their party. Hawawezi kukwepa. Ni sawa na mwanachama anatoa ideas zake halafu mmoja anasema huu sio msimamo wa chama, this is stupid thinking. Chama ni wanachama.
Kwa hiyo kosa la CCM ni kuwakumbatia mafisadi, na kuwa associated na mafisadi.