Elections 2010 NEC's website shame as Oct 31 nears

Mwanamayu

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2010
Posts
11,662
Reaction score
6,888
Website ya NEC ina habari zilizopitwa na wakati na nyingine kutokuwepo kabisa. Mfano, results database - ilibidi database ya 2010 iwe tayari na mara matokeo yanapotumwa kutoka kwenye majimbo basi nasi tuweze kuona moja kwa moja badala ya kusubiri Lewis atangaze kwenye Luninga. Na ingepunguza kabisa 'chakachua'.

Source: The Citizen 27 Oct. 2010
 
Wakiiweka apo watashindwa kuchakachua
 
Kwa sababu ni dynamic bado wana muda kama wanania..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…