Tatizo sio NECTA. Kufeli kulichangiwa na mambo mengi. Nashangaa watu wameshupalia NECTA. Watoto wenyewe walikuwa wengi wao hawasomi, walimu hakuna, mtaala uliokuwa unatekelezwa walimu hawana ujuzi nao (competence based), wazazi ndo kabisa hawana habari na elimu ya watoto wao, vifaa mashuleni hakuna, nidhamu mashuleni hakuna. Sasa hapo tulitegemea nini?