Jaman kunauvumi ambao umesambaa kuwa necta ya form 6 inaweza kuwa mwezi wa tatu au wa tano kama baraza la mithihani walivyotoa ratiba yao hapo awali hivyo nilikuwa naomba nipate uhahika kuwa jeeh nikwel kuwa necta ya form 6 imerudishwa nyuma na unatakiwa ifanyike march ilikupisha shughuli mbalimbali za kitaifa naombani mniieleweshe