NECTA imeanza kua more professional academically big up Waziri wa elimu

NECTA imeanza kua more professional academically big up Waziri wa elimu

Covax

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2021
Posts
10,198
Reaction score
35,323
Maamuzi ya NECTA kutotangaza washindi katika mitihani ya taifa ni wazo zuri kinadharia kwa sababu linawapa moyo hata wale ambao hawajafanya vizuri. ukimtangaza aliyeshinda kuliko wote ni kumpigia debe ni kujidanganya. Wa kwanza ni wa kwanza tu hata umuite wa mwisho na debe amejipigia mwenyewe kwa performance yake.

Wakuu wa shule wengi walikua wanatumia loophole hi kutangaza mashule yao na kuibia wazazi kwa kuweka extorting fees mpaka 3-4m ada tu.

Shule janja zina kua na vituo viwili vya mitihani, wana adimiti mpaka wanafunzi 300, umo wana pewa mitihani kila wiki, wana chambua wanafunzi wale super ndo kama 50 wana sajiliwa kituo kile kimoja ili washide na watangazwe, mfano mzuri ni Kameboz na Keizerenge, hi ni shule moja mmiliki moja campus moja ila ina vituo viwili vya mtihani, hiyo ni manipulation ya system na uonevu kwa wazazi na wanafunzi. haijawahi kutokea vyote vifanye vizuri kwa mitihani wa mwaka moja.

Napongeza Necta kwa kuliona hili mapema, nakusitisha halina uhusiano na kazi zao za kusimamia mitihani.
 
Back
Top Bottom