Mustapha Ryder
Member
- Dec 19, 2013
- 76
- 12
Nipeni ushauri ndugu zangu nimechanganyikiwa jamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipeni ushauri ndugu zangu nimechanganyikiwa jamani
Ache ujinga mimi nafikiri izo B umepewa tu au mwaka huu pata sote ndo mana
Unataka usaidiwe nini tena na necta ndo wameshakusaidia
Sijaelewa unachanganyikiwa na nini wakati, mfumo umebalika, usichanganye na mfumo ule wa zamani, sasahivi, A=1 B+=2 B=3 C=4 D=5 E=6 na F=7 fanya hesabu zako kupitia mfumo huo, pia ujue ujue C ya sasa inawezekana ni D ya zamani, maana idadi ya marks100 haijaongezeka sema wamenyambulisha alama tu kwa kugawa hizo marksNipeni ushauri ndugu zangu nimechanganyikiwa jamani
sijaelewa unachanganyikiwa na nini wakati, mfumo umebalika, usichanganye na mfumo ule wa zamani, sasahivi, a=1 b+=2 b=3 c=4 d=5 e=6 na f=7 fanya hesabu zako kupitia mfumo huo, pia ujue ujue c ya sasa inawezekana ni d ya zamani, maana idadi ya marks100 haijaongezeka sema wamenyambulisha alama tu kwa kugawa hizo marks
If that is the case
Is it Big Results Now or Pig Results Now?