Tetesi: NECTA katika kashfa

tamuuuuu

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2014
Posts
21,329
Reaction score
28,063
Kuna tetesi vigogo wakubwa wamehonga huko baraza ili kupona ktk sakata la vyeti feki.
Wengi wao ni waliorekebisha division na ufaulu wao.

Na Bashite pia asiachwe
 
Serikali ya double standard ndio inawasumbua vichwa watumishi walioondolewa katika ajira zao.
Serikali itende haki kwa yeyote bila kujali nafasi yake ione kama kutakuwa na malalamiko kiasi hiki.
Mwenyezi Mungu alitoa amri kumi zifuatwe na wanaadamu wote na sio baadhi wasizifuate.
Tukikuombea basi na wewe jaribu kufuata amri za Mungu na utende haki.
 
hizi ni fununu hata mimi ningekubwa na panga hili ningetengeneza tetesi kama izi ili kuuchafua kabisa mpango huu uonekane wa uonevu
Ila ukweli walio foji vyeti washughulikiwe, kama unamfahamu kigogo hata mmoja aliye achwa mseme hadharani humu mbona tunafunguka tu hakuna shida.
 
Kuyafanya mambo magumu yawe rahisi na rahisi yawe magumu ndiyo shida yake. Tukiwa na database ya wananchi wote hatutopata shida za namna hizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…