NECTA kidato cha sita kufanyika lini?

Je, ni kweli necta form six ni March sio May tena?

Hapana sio kweli ratiba haijabadilika, kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na baraza la mitihani leo kwenye gazeti la habari leo mtihani utafanyika kuanzai tarehe 4 hadi 27 Mei 2015
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…