CHAMVIGA
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 7,687
- 2,240
Somo la islamic knowlegde(maarifa ya uislamu) limefutwa na wizara tena katika mazingira ya usiri na barua ya kuwaatarifu bakwata iliyoandikwa April 9 ikapokelewa tar 2 may haikueleza sababu za msingi za kufutwa somo hilo je wizara imelenga nini ukizingatia bible knowledge bado ipo?
Ikumbukwe somo hili kama ilivyo bible knowledge linasomwa na watu wa dini zote na yamekuwa msaada mkubwa sana kwa kuwapushi wanafunzi hao, sasa ni upi mustakabali wa wanafunzi wanaotegemeaga somo hili kama daraja lao?
Lakini kubwa ni ipi siri ya kulifuta tena bila kuwahusisha wanaotengeneza mtaala wa somo lenyewe na kinyume chake kuwapelekea Bakwata? .