Necta mböna wapo kimya sana kuhusu csee 2011 results

Necta wana mpango gani na form 4 leavers.
Kama kuna mwenye tetesi kuhusu matokeo yatatoka lini anijulishe basi.

wasiwasi wako nini? si usubirie watatoa wakiwa tayari? mnataka watoe kwa mashinikizo yenu? hawajawa tayari, wakiwa tayari wataweka hadharani.

cha msingi inatakiwe uwe upo unafanya kazi ya kukuweka busy, la sivyo utaishi kwa pressure ukilazimisha kupata mmatokeo
 
Kwa taarifa nilizozipata hivi punde ni kwamba yatatoka tar 14, fabr. Na yote mlokuwa mkiyackia yalikuwa ni tetesi na hayana ukweli.
New from Kilimanjaro!
 
Tulieni vijana watayaleta siku ya valentine day as it was for me those days teh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…