NECTA na CAMBRIDGE mwenye ufahamu juu ya haya!

mojaone

Senior Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
135
Reaction score
30
Salaam kwa wana JF wote,

Naomba mwenye ufahamu juu ya hii mitihani ya NECTA na CAMRIDGE anijuze jamani

Kuna vijana wetu wako kwenye hizi shule za academic grade 7 sasa,wanategemea kufanya mitihani karibuni ya kumaliza primary school,sasa basi wametueleza watafanya mitihani yote miwili,necta na cambridge as option.

Wataanza na cambridge na baada ya muda watafanya hii ya necta,

Swali langu;Je vijana wetu kama wataendelea na hiyo mitihani ya cambridge peke yake na kuendelea na shule hiyohiyo wakamaliza form 4 kuna madhara yoyote huko mbeleni?

Je kama hawatafanya hiyo mitihani ya necta kutakuwa na madhara gani huko mbele mbali na kukosa hicho cheti cha necta?

Je nini hasa faida ya hii mitihani ya NECTA na CAMBRIDGE??

Natanguliza shukrani.
 
ni kama wewe ukiamua kusomea uganda au kenya, hapo utaungwa na chuo kikuu wakikubali alama zako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…