NECTA: Ratiba ya Mtihani wa Kidato cha Nne haijabadilika

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Posts
10,702
Reaction score
3,319
Katika gazeti la Mwananchi la leo, 30 Juni 2015, ukurasa wa 7, Baraza la Mitihani la Taifa limekanusha uvumi unaosambaa kwenye mitandao na ujumbe mfupi kuwa Ratiba ya Mitihani ya Kidato cha Nne mwaka huu imebadilishwa kwa sababu ya kuingiliana na ratiba ya Uchaguzi Mkuu 2015.

Kanusho hilo linawataka watahiniwa wote kuendelea na maandalizi kama kawaida na mitihani itaanza Novemba 2 hadi Novemba 27 2015.

Soma ratiba yote ya Mtihani wa Kidato cha Nne 2015 hapa:
 

Attachments

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…