Japhet Davies
Member
- May 12, 2013
- 71
- 8
wazir amesema mda mfup yanatoka. Tembelea ippmedia.com
mlikuwa mmetupotea humu, mmerudi rudi tena..?
hahhaaa vijana naona mmerudi tena eeee tafadhali this time msitusumbue tuko busy na nchi.
mlikuwa mmetupotea humu, mmerudi rudi tena..?
Wadau mwenye tetesi za matokeo ya kidato cha nne 2012, manaake vi2mbo visha anza kuwa joto
Si nasikia wamehairisha kusahihisha tena???
Mkuu nadhani ni hii wiki maana tayar mchakato ulishaanza since last sunday na kazi ya kuchakachua inafanyika usiku na mchana kwa mujibu wa maelezo ya afisa habari wa NECTA bw. John Nchimbi.
Wadau mwenye tetesi za matokeo ya kidato cha nne 2012, manaake vi2mbo visha anza kuwa joto
Subiri tulimalize kwanza suala la Arusha,then tutatangaza matokeo..
...JAH-KAYA's LAND,EVERYTHING IS POSSIBLE..