Nimepata kuona waraka wa necta unaowaruhusu wahitimu wote waliowahi kupotelewa ama kuharibikiwa na vyeti vyao vya hawali kwamba sasa wanaweza kupatiwa vyeti mbadala ama 'alternative certificate' ..swala langu ni hivi,huu utaratibu unawahusu wote wahanga ama ni kwa ajiri ya wale ambao tu vyeti vyao vya hawali vilikuwa katika mfumo wa picha yaani kuanzia 2009 ama ni pamoja na wale ambao hawakuwa katika mfumo wa picha nikimaanisha 2009 kurudi nyuma? mwenye kulijua hili tafadhari msaada wenu