Takwimu za Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta) zinaonesha ufaulu wa jumla umefikia asilimia 85.22 mwaka 2026 kutoka asilimia 81.80 mwaka jana, sawa na ongezeko la asilimia 3.42.
Your browser is not able to display this video.
Akitangaza matokeo hayo leo Novemba 3,2026, Katibu Mtendaji wa Necta, Profesa Said Mohamed, amesema watahiniwa 970,876 kati ya 1,139,273 waliokuwa na matokeo wamefaulu kwa kupata madaraja A, B na C.