Jamaa Fulani Mjuaji
Senior Member
- Jul 25, 2020
- 155
- 278
Nilienda Ofisi za NECTA mwezi Novemba mwaka Jana 2023 kuomba wanisaidie Replacement kwa Cheti Nilichopoteza Ikiwemo Cha Kidato Cha Nne Ofisi za NECTA
Wakanijibu kuwa kwa sasa wao hawafanyi Tena hizo Kazi ninatakiwa kujaza mwenyewe kwa njia Ya Mtandao, wakaniambia natakiwa nikajitangaze kwenye Gazeti Nikafanya Hivyo wakaniambia niwe na Loss Report nikapata Loss Report nikawa nayo wakasema na ID yangu na Passport Nilikamilisha Nyaraka zote
Waliniambia Ukiwa na hivo vitu na ukajaza mtandaoni ni siku 30 tu ukishalipia cheti kinakua Tayari, Nikajaza mtandaoni Vizuri Nikalipia kila cheti Laki 100,000 na control namba ninazo na Risiti.
Sasa KERO yangu ni kwamba ni Takribani miezi 5 Toka Nijaze vema Status inasema SUBMITED: BEING PROCESSED nikipiga simu wanasema Tuko kwenye mchakato Tunakifanyia kazi Nimepiga sana simu mara wanasema mhusika kaenda kutoa semina mpaka Arudi Mara wako kwenye kuendesha zoezi la kugawa mitihani ni kama imekua napigwa DanaDana na Mimi nimekuwa mvumilivu Sana Japo mambo mengi yamekwama.
Mpaka nikasema nikipiga simu safari hii nitamuambia yule anayepokea kama anataka nitoe chochote kitu aseme ili nipate cheti huenda wanataka Hela ya Kuprocess Haraka na hawasemi.
Jamani au kuna Namna wengine mnafanya mnavipata Vyeti haraka.