Michael Mwakyusa
JF-Expert Member
- Mar 18, 2012
- 306
- 55
Ni vizuri NECTA ikatoa ufafanuzi kuondoa mkanganyiko
na tuhuma za waislam kwamba somo la
islamic k,ledge matokeo yake kwa F6 kwamba yamechakachuliwa ili kuondoa
dhana ya gonjwa hili baya la udini linaloelekea kuitafuna TZ hivi
sasa.
Ivi islamic knowledge inamwongezea nin mwanafunz,maana nijuavyo haina msaada wowote ktk kuhesabu cut off points!
Nadhani mtu mwenye busara huwa hajibu kila tuhuma, hizi tuhuma za kujinga wala hazipaswi kujibiwa. Washaurini hao watu wafuate muhtasari wa kufundishia na kufuata vigezo vya kufundishia ikiwemo kuajiri waalimu wanaofaa na wenye vigezo kielimu na si kwa imani. Kujibu tuhuma kwa ajili ya kuwaridhisha watu wala siyo tiba. Watu kama hawa wamejiandaa kulalamika so hata ungewapa wasahihihishe mtihani wao wenyewe watalalamika tu!!!!
Ni vizuri NECTA ikatoa ufafanuzi kuondoa mkanganyiko na tuhuma za waislam kwamba somo la islamic k,ledge matokeo yake kwa F6 kwamba yamechakachuliwa ili kuondoa dhana ya gonjwa hili baya la udini linaloelekea kuitafuna TZ hivi sasa.
Nadhani mtu mwenye busara huwa hajibu kila tuhuma, hizi tuhuma za kujinga wala hazipaswi kujibiwa. Washaurini hao watu wafuate muhtasari wa kufundishia na kufuata vigezo vya kufundishia ikiwemo kuajiri waalimu wanaofaa na wenye vigezo kielimu na si kwa imani. Kujibu tuhuma kwa ajili ya kuwaridhisha watu wala siyo tiba. Watu kama hawa wamejiandaa kulalamika so hata ungewapa wasahihihishe mtihani wao wenyewe watalalamika tu!!!!
masikini weeeee!!!!! hujui hats una'argue kitu gani
Kama hayo ni kweli basi mkurugenzi lazima wajibike. Wasiwasi wangu ni kuwa hatuna utanaduni wa kuwajibika hata pale nafsi yako inapokusuta.Citizen ya leo ina ufafanuzi. kifupi ni kosa la kiufundi ambapo mwaka huu somo hilo lilikuwa na paper 2 badala ya 3 za mwaka jana. program haikubadilishwa na ilitumia factor ya mwaka jana (3) kukokotoa alama za mwisho badala ya (2) ili kuendana na paper za mwaka huu
Meme au wewe??? Poleni sana wakuu!!!!! Wailers will always wail no matter what!!!!!!masikini weeeee!!!!! hujui hats una'argue kitu gani
Necta nao watakuwa mafala sana kama kuna kosa hilo walikuwa wapi siku zote kurekebisha kasoro hizo? Ingawa ukipata A kwenye Islamic Knowlwdge huendo kokote.