NECTA/wizara ya elimu jitokezeni kwa ufafanuzi!

NECTA/wizara ya elimu jitokezeni kwa ufafanuzi!

kivyako

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2012
Posts
14,340
Reaction score
12,055
Mmetangaza matokeo ya kidato cha nne kwa mtihani uliofanyika mwaka 2013, hata kama ni BRN ni sawa, lkn mmeacha maswali mengi yasiyo na majibu, mfano:
1. Hakuna ufafanuzi credit ni ipi kwa sasa maana tulizoea mwisho 'C'
2. Huu ni utaratibu wa mda tu au wa kudumu na mashuleni waanze kugrade hivo?
3. Kuna pts 43 div 0 na pts 45 div 4 ni kwa nini?
Na mengine wadau wataongezea. Mi nawashauri mjitokeze mjibu hoja na kuweka mambo sawa kwa vile mmekubali wenyewe kujiingiza kwenye mtego wa kisiasa.
 
Sasa hivi wapo busy na Katiba mpya,sijui kama watakujibu.
 
Back
Top Bottom