NECTA yapandisha hadhi Mitihani ya MOCK, sasa kutumika kama CA

NECTA yapandisha hadhi Mitihani ya MOCK, sasa kutumika kama CA

Shafiri

Member
Joined
May 5, 2013
Posts
98
Reaction score
14
Kwa nujibu wa gazeti la habari Leo la tarehe 26/6/2014 NECTA itakua inatumia alama za mithani ya Mock kama CA kwenye mitihani ya Kidato cha Nne na Sita.

Je, hii imeakaaje? Maandalizi ya MOCK yanafanyika katika mazingira ya kuaminika kiasi ambacho NECTA ichukue hizo alama na kuziunganisha na matokeo ya taifa?

Je, hatua hii haitasababisha uchakachuaji wa maswali ya MOCK ili kuwainua watahiniwa wa eeneo husika?


http://www.habarileo.co.tz/index.php/habari-za-kitaifa/26639-alama-za-moko-kutumika-mtihani-wa-taifa
 
Back
Top Bottom