NECTA yatangaza kuahirisha mitihani ya Kidato cha Sita

NECTA yatangaza kuahirisha mitihani ya Kidato cha Sita

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Baraza la Mitihani nchini limetangaza kuahirisha mitihani ya kidato cha sita na ualimu iliyokuwa ifanyikwe Mei 4, 2020 hadi pale itakapotoa taarifa mpya.

Tangazo hili limekuja baada ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kutangaza shule zote kuanzia za Awali hadi Kidato cha 6 kufungwa kwa siku 30 kuanzia Machi 17, 2020.

Alipotoa tangazo la kufungwa shule alisema Serikali itafanya marekebisho ya ratiba ya kidato cha 6, kwani wangekuwa na muda mfupi wa kujiandaa kwa mitihani.

Hadi sasa kuna jumla ya wagonjwa sita wa #Coronavirus waliothibitika.
 
Back
Top Bottom