Kuna dogo kanambia kapiga one ya nane nikasema ngoja nichek shule yao wamepataje nakuta one mia na uchafu nikaishiwa nguvu maana shule yenyewe ni hz za ovyo tu so kupata one mia zote hzo ni maajabu.Sikuhizi ukifel o levo na alevo..kweli wewe ni kilaza wa mwisho..elimu imekua ya kisiasa hakuna tena ubora.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kwA hgk kushinda kupata one si ni ukichaa huo,!Kuna dogo kanambia kapiga one ya nane nikasema ngoja nichek shule yao wamepataje nakuta one mia na uchafu nikaishiwa nguvu maana shule yenyewe ni hz za ovyo tu so kupata one mia zote hzo ni maajabu.