NECTA yatangaza upya Matokeo ya Kidato cha Nne 2012

Hayawi hayawi hatimae yamekua, kwa wale vijana wa kidato cha 4, leo kaen karbu na internet cafe 7bu mzigo unatema leo, ol da best guyz.
tushawazoea mbona,hakuna anayejua cku kamili ya matokeo kutoka????@? Rubbish
 
katangaza nani bana!!acheni kuwazngua madogo,hakuna anayejua ln yatatka!
 
Hasa sisi tuliopata div 4 awali sasa ndo tunatega macho angalau tunaweza kuambulia div 3
 
Dha mmmhhh wa2 walixema mara j3 wengine j5 mmhhh labda we wa alhamic ngoja 2cubiri...
 
Acheni utoto nendeni mkalale nyie,matokeo yatatoka tar28.june!!
 
Wadau ni kweli matokeo leo yatatoka,halina ubishi,mjadala ushafanyika kwa muda sasa kati ya necta na mtoto wa mkulima,necta na wizara ya mulugo n siku imewadia,tuwe na subira
 
Wadau ni kweli matokeo leo yatatoka,halina ubishi,mjadala ushafanyika kwa muda sasa kati ya necta na mtoto wa mkulima,necta na wizara ya mulugo n siku imewadia,tuwe na subira

iv eeh... Aya bhan ngoj tusubiri...
 
Ukweli ni kwamba matokeo ya kidato cha nne yako hadharani yanatangangazwa mchana huu wizarani rafikiangu mwandishi wa gazeti la mwananchi amenipa hiyo tipu kwamba wameitwa kupewa hayo. Na habari alizopata ambazo bado si za uhakika ya kidato cha sita nayo ni leoleo au kesho mapema ila Waziri ameombwa asitangaze ya kidato cha sita bali baraza la mitihani lenyewe.
 
Watoto wadogo utawajua tu kuna document zinahitaji signature ya kamishna mmoja pale wizarani,munamjua yuko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…