Ukweli ni kwamba matokeo ya kidato cha nne yako hadharani yanatangangazwa mchana huu wizarani rafikiangu mwandishi wa gazeti la mwananchi amenipa hiyo tipu kwamba wameitwa kupewa hayo. Na habari alizopata ambazo bado si za uhakika ya kidato cha sita nayo ni leoleo au kesho mapema ila Waziri ameombwa asitangaze ya kidato cha sita bali baraza la mitihani lenyewe.
Yah!!
Kutona na kikao
kilichokuwa kinaendelea leo kati ya wizara na wadau wa Necta,Necta
wametujuza kwamba ufaulu umeshuka na kuwa chini ya asilimia 43,hii ni
kinyume ya matarajio ya walio wengi especially wazazi,walezi na wale
waliochora mazombi ambao wengi wao walitegemea muujiza;Angalizo-Naogopa
kusanuka zaidi Mods wasije ondoa huu uzi ukizingatia mi mwenyewe nipo
jikoni
Hayawi hayawi hatimae
yamekua, kwa wale vijana wa kidato cha 4, leo kaen karbu na internet
cafe 7bu mzigo unatema leo, ol da best guyz.
Hayawi hayawi hatimae yamekua, kwa wale vijana wa kidato cha 4, leo kaen karbu na internet cafe 7bu mzigo unatema leo, ol da best guyz.
We ndo baraza mitihani?? Ulikuwepo??
wametangaza kwamba mpango mzima ni leo