angalia umuhimu wa topic; hata kama imefanywa kama bado kuna maswali hayajajibiwa unasema wewe unataka kuyaadress hayo masuala; au kama utafiti uliopita ulikuwa na mapungufu, wewe utaweza kuya-address nadhani possible kufanya; ama umefanyika utafiti usio wa kutosha kwa hiyo unataka ku-add kwenye knowledge iliyopo - all in all kuna sababu kibao waweza kuzisema ili ufanye huo utafiti wako.WanaJF nina kitu kinanitatiza kidogo hapa, eti unapochagua research topic fulani ni lazima iwe haijawahi kufanyiwa kazi na mtu mwingine hapa Tanzania? Kama hivyo ndivyo mi nitajuaje topic yangu niliyoichagua haijafanyiwa kazi na mwanafunzi mwingine hapa Tz. Nauliza haya kwa sababu kila topic nikisema nataka kuifanyia kazi my colleagues wananiambia aah hiyo kuna jamaa ameiandikia mwaka jana, ama mwingine anasema aah hiyo iko over done!
Naombeni msaada wenu katika hili tafadhali coz time inakimbia sana. My area of interest is finance/accounting na nafanya MBA-Finance and Banking.
yeah, ni muhimu. kuna tetesi kuwa wasomi wa kitz hawako makini, hawasomi etc, nikaona niku-warn usijeukadumbukia kwenye kundi hilo, itakuwa ngumu kufanikiwa; si wajua mambo ya globalization tena...Asante Outlier, nimeipenda sentensi yako ya mwisho! Naufanyia kazi ushauri wako!
Brooklyn,WanaJF nina kitu kinanitatiza kidogo hapa, eti unapochagua research topic fulani ni lazima iwe haijawahi kufanyiwa kazi na mtu mwingine hapa Tanzania? Kama hivyo ndivyo mi nitajuaje topic yangu niliyoichagua haijafanyiwa kazi na mwanafunzi mwingine hapa Tz. Nauliza haya kwa sababu kila topic nikisema nataka kuifanyia kazi my colleagues wananiambia aah hiyo kuna jamaa ameiandikia mwaka jana, ama mwingine anasema aah hiyo iko over done!
Naombeni msaada wenu katika hili tafadhali coz time inakimbia sana. My area of interest is finance/accounting na nafanya MBA-Finance and Banking.
Kuna mambo kadhaa ya kuzingatia wakati wa kuchagua research topic km willingness(interest) ya supervisor kwenye research topic, interest yako, uwezo wako wa kuifanya ikiwa too complicated inaweza kukusumbua na availability ya materials. Ninafaham vyuo hapo bongo kama UDSM, SUA na IFM, sina hakika na mzumbe wana access kwenye JSTOR na EMERALDS. Waulize kwenye libraries zao watakusaidie. Kila topic ambayo mtu anakwambia imefanywa bado inafanyika, cha msingi ni kuestablish gap Either in terms of sampling, methodologies, time span etc kwenye level ya MBA hakuna shida. Kama unashindwa sana kupata article unaweza kupost hapo unazotaka tukakufanyia mpango ukazipata kwa kukudownlodia though sorry binafsi siwezi kukupa passwordWanaJF nina kitu kinanitatiza kidogo hapa, eti unapochagua research topic fulani ni lazima iwe haijawahi kufanyiwa kazi na mtu mwingine hapa Tanzania? Kama hivyo ndivyo mi nitajuaje topic yangu niliyoichagua haijafanyiwa kazi na mwanafunzi mwingine hapa Tz. Nauliza haya kwa sababu kila topic nikisema nataka kuifanyia kazi my colleagues wananiambia aah hiyo kuna jamaa ameiandikia mwaka jana, ama mwingine anasema aah hiyo iko over done!
Naombeni msaada wenu katika hili tafadhali coz time inakimbia sana. My area of interest is finance/accounting na nafanya MBA-Finance and Banking.
WanaJF nina kitu kinanitatiza kidogo hapa, eti unapochagua research topic fulani ni lazima iwe haijawahi kufanyiwa kazi na mtu mwingine hapa Tanzania? Kama hivyo ndivyo mi nitajuaje topic yangu niliyoichagua haijafanyiwa kazi na mwanafunzi mwingine hapa Tz. Nauliza haya kwa sababu kila topic nikisema nataka kuifanyia kazi my colleagues wananiambia aah hiyo kuna jamaa ameiandikia mwaka jana, ama mwingine anasema aah hiyo iko over done!
Naombeni msaada wenu katika hili tafadhali coz time inakimbia sana. My area of interest is finance/accounting na nafanya MBA-Finance and Banking.
Jamani sio suala la uvivu ni exposure tu alikuwa anataka dif views aone anaimamia wapi....pia hata wengine wengi wameelimika pitia hapo....
Mie sio mtu wa Finance ila tu ninakupa hints za research writing:WanaJF nina kitu kinanitatiza kidogo hapa, eti unapochagua research topic fulani ni lazima iwe haijawahi kufanyiwa kazi na mtu mwingine hapa Tanzania? Kama hivyo ndivyo mi nitajuaje topic yangu niliyoichagua haijafanyiwa kazi na mwanafunzi mwingine hapa Tz. Nauliza haya kwa sababu kila topic nikisema nataka kuifanyia kazi my colleagues wananiambia aah hiyo kuna jamaa ameiandikia mwaka jana, ama mwingine anasema aah hiyo iko over done!