Lady Ra
JF-Expert Member
- Mar 23, 2014
- 879
- 991
Salaam Wakuu,
Mimi sio mwajiriwa popote, nina shughuli zangu ndogondogo tu za hapa na pale. Nina shida au dharura ya ghafla ya kifedha kiasi cha Tshs 15Million.
Wapi naweza kupata kwa haraka huu mkopo wa hiki kiasi kwa gharama (interest) nafuu? Dhamana nayoweza kuweka ni kadi ya(za) gari au "offer" ya Kiwanja. Kurudisha ni baada ya mwaka mmoja.
Ahsanteni