Barclays wana rate kubwa kaka yangu!!
Mhh 15ml.nenda kwnye mabank hasa barclay watakpa fasta ila interest zake za kibank mmmh?
Barclays wana rate kubwa kaka yangu!!
nenda amana benk hawana riba kabisa
Watakubali gari / offer ya kiwanja kama collateral ?
Hamna bank isiyo na riba labda uende nchi za kiarabu-
na mtu ukikopa 15mil. interest zake lazma ifike mpaka 21mil.
amana bank hawana riba hata shilingi moja.. ukichukua.20mil. unalipa 20mil