Need For Speed UnderCover

Invisible

JF Admin
Joined
Feb 26, 2006
Posts
16,286
Reaction score
8,380
Ninayo lakini ni kubwa sana na nimejaribu kila namna kuwaletea hapa nimechemsha. Ni 5GB in size...

Kuna jamaa yangu yupo Dar ana nakala ya game hii, mnaweza kunifahamisha nikawaunganisha nae wale mnaopenda kucheza game hii.




 
Hii game ni nzuri? nimecheza NFS Prostreet kwenye 360 I didn't like it that much, ila Fifa 09 kwenye 360 Live graphics zake ni nzuri sana.
 
tunaweza kumpata kiurahisi huyo naweza kuifanya iwe portable itakuwa kama 1 gb hivi ukigawa vipande kila moja kama mb 80 hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…