Iwindi_Mbalizi
Member
- Dec 1, 2008
- 24
- 4
Need job vacancy? aisee
Ina maana since last year hajapata kazi kabisa?
Mwambie ajifunze kutumia internet kazi haziji kwa kujuana juana......
Mbali na ku specialize kwenye marketing ana skills gani nyingine ambazo anaweza kupambana na waombaji wengine?
Ndo manake......si unaona kaweka na poll option kati ya marketing na jobShem msaidie bwana huwezi jua ....mambo yaleeeeeeeeeee