Mkuu Sponsors Wapo Sana, Amini Kuwa Humuhumu Jf Kuna Watu Wamebahatika Baada Ya Kuleta Mabandiko Yao, Tatizo Lako Ni Presentation Mbovu Ambayo Ni Vigumu Kumshawishi Mtu Kukusaidia, Ungeandika Hata Kwa Kiswahili Fasaha, Si Kama Nakukatisha Tamaa Ila Kwa Sisi Ambao Tumewahi Kusoma Kwa Misaada Ya Wafadhili Tunaamini Kwamba Ni Lazima Utumia Lugha Ya Ushawishi, Nakushauli Ujipange Alafu Leta Bandiko Zuri Angalau Watu Wajue Background Yako, Mpaka Sasa Una Elimu Gani? Umesoma Vip Mpaka Umefika Hapo Na Goals Zako, Wengine Wanaingiza Hata Familly Problems Zao Ili Mladi Tu Wateke Hisia, Sikufundishi Ufanye Yote Hayo Lakini Atleast Onyesha Kuwa Uko Serious.