Sita Sita JF-Expert Member Joined Aug 25, 2008 Posts 1,397 Reaction score 520 Feb 9, 2011 #1 Greetings wanaJF Niko hapa leo kutafuta information kuhusu Used Pump za kuuzia mafuta ya taa au petroli. Nimeshaulizia vituo kadhaa vya kuuza mafuta lakini sijabahatika kupata. If there is anyone with more info please let me kno. NAWASILISHA
Greetings wanaJF Niko hapa leo kutafuta information kuhusu Used Pump za kuuzia mafuta ya taa au petroli. Nimeshaulizia vituo kadhaa vya kuuza mafuta lakini sijabahatika kupata. If there is anyone with more info please let me kno. NAWASILISHA
Mallaba JF-Expert Member Joined Jan 30, 2008 Posts 2,554 Reaction score 48 Feb 9, 2011 #2 we unahitaji pump za kutumia kwenye kituo cha mafuta/petrol/diesel? au mafuta ya uswazi?
Sita Sita JF-Expert Member Joined Aug 25, 2008 Posts 1,397 Reaction score 520 Feb 11, 2011 Thread starter #3 mkuu pump za uswazi Ningekua Big Bon nigezifata Dubai
Sita Sita JF-Expert Member Joined Aug 25, 2008 Posts 1,397 Reaction score 520 Feb 14, 2011 Thread starter #4 Help please