UchebeOriginal
Member
- Dec 10, 2018
- 11
- 7
*BAD NEWS*
Vichwa vitatu vimekutwa kwenye begi, Hii imetokea hapa maeneo ya Chukwani leo, wasichana wawili walichukua tax toka Darajani kuelekea Chukwani basi mara dereva akahisi harufu kali akawaona polic wawil barabaran akasimama ili hayo mabeg mawil ya hao wasichana yasachiwe, polis waliongea na wasichana hao wakatoa dola 2000, taxdriver akaruhusiwa bila kusachiwa, Walipofika Search point ndipo askari moja alishtuka alipofungua begi akaona Vichwa vitatu,. Vilipofanyiwa uchunguzi wakagungua kuwa vichwa hvo ni vya Sumsang Charger, Iphone charger na Infinix Charger. Asante kwa kusoma stor yote, kama umechukia njoo tupigane, maana ulitegemea habari mbaya. Unaweza kuendelea na kazi unayofanya.