whitehorse
JF-Expert Member
- Aug 29, 2009
- 2,565
- 4,432
Yes, lakini hakikisha ni pure/virgin neem oil. Watu wanachakachua sana siku hizi .Thanks at least nimepata jibu la afadhali kwa sababu nilikuwa nafahamu neem oil huwa pia pesticides so i thought isije kuwa sumu
Asante sana kwa kujali ππ½ππ½Yes, lakini hakikisha ni pure/virgin neem oil. Watu wanachakachua sana siku hizi .