Neema Akeyo alivyolipwa mshahara wake na NMB Plc baada ya kufukuzwa kazi kwa kutohudhuria kazini siku ya Jumamosi

Ilikuwa sahihi kufukuzwa kazi, yaani wateja tusihudumiwe kisa eti yeye kaenda kushabikia dini isiyomuhusu. Huyu kajitakia mwenyewe.
 
Hii itasaidia, mana NMB hata jumapili nowadays wanafungua matawi....waache watu wapumzike waende kuabudu...maisha sio kazi tu ..
 
Hii itasababisha wasabato wale ban hapo nmbโ€ฆ.Na taasisi nyingine kuwaogopa dah hatari sana..Bora angepiga kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ