Neema Herbalist

Sniper

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2008
Posts
1,957
Reaction score
827
Hawa neemaherbalist (neemaherbalist.blogspot.com) kwa muda sasa wamekuwa wakijitangaza kutibu magonjwa mbali mbali ( kama Upungufu wa Nguvu za Kiume, vidonda vya tumbo, kisukari, malaria n.k) kwa kutumia dawa za asili.

Nilikuwa naomba kama kuna mtu ambaye ameshatumia dawa zao, au anafahamu watu waliokwisha tumia dawa zao,
Je, Dawa zao zinatibu kama wanavyosema?
Na Je, hazina madhara yoyote kwa mtumiaji kiafya?

Nawasilisha.
 

Mimi pia ningependa kujua kama kuna mtu ashawahi kutumia dawa zao na akapona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…