Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Taarifa hii njema imetolewa na serikali ya Tanzania
---
Mtendaji wa Tume ya Mipango Bw. Lawrence Mafuru amesema kuwa;
"Uchumi wetu umekuwa ukikua kwa wastani wa asilimi 6% kwa miaka 20 iliyopita, hiki kiwango cha ukuaji ukikiangalia ni kiwango kikubwa sana ukilinganisha na mataifa mengine hata mataifa makubwa yaliyoendelea kwahiyo unaona lengo letu halikuwa kukua kwa asilimia 6% tulitarajia tungweza kukua kwa asilimia 8% hivi na zaidi.
"Tumeweza pia kukua bila kutegemea sekta moja ya uchumi, nchi yetu ina sekta nyingi za uchumi ambazo ziko balanced kwahivyo hakuna namna ikitetereka sekta moja inaweza kuathiri uchumi kwa ujumla, tumejenga misingi imara kwenye uchumi mbalimbali ziko sekta zinazokua haraka na ambazo hazikui haraka na zinachangia."
Toa Maoni yako.