Nehemiah Mchechu aula DSTV, ateuliwa mkurugenzi wa bodi

Replica

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2017
Posts
1,681
Reaction score
8,887
MultiChoice Tanzania imemteua Nehemiah Kyando Mchechu kuwa mkuu wa bodi ya wakurugenzi uteuzi ulioanza rasmi Agosti 1, 2022

Multichoice wamesema wana imani kubwa na uwezo na uzoefu wake uliomfanya kuwa moja ya wakurugenzi mahiri hapa nchini.

Pia, soma=> BAJETI: DStv yaunga mkono TOZO ya king'amuzi. Yataka 'Free chanels' zisiwepo ili Serikali ikusanye zaidi

DSTV.jpg
 
Huyo ni tatizo kubwa, yeye ama wao tozo haziwahusu ndio maana wameongeza shilingi elfu tano kuanzia kifurushi cha Compact na kuendelea tangu tarehe moja Sept kumbe ni kwa upuuzi na ushauri wa huyu!

Magu huko uliko barikiwa japo kwa hili ambalo ulilitenda kwa huyu mpigaji
 
SasA atakuwa anapiga kote kote huku si yuko hapa nhc director mkuu au kapigwa chini ndipo mult choice ikamuona
 
Huyo ni tatizo kubwa, yeye ama wao tozo haziwahusu ndio maana wameongeza shilingi elfu tano kuanzia kifurushi cha Compact na kuendelea tangu tarehe moja Sept kumbe ni kwa upuuzi na ushauri wa huyu!

Magu huko uliko barikiwa japo kwa hili ambalo ulilitenda kwa huyu mpigaji

Sent from my HUAWEI RIO-L01 using JamiiForums mobile app
Kulalamika tu bado hakuleti faraja still utafanya wanachokitaka wao kama kununua utanunua kama kuwa blocked usipolipia utakuwa blocked.

Tafuta chance na wewe kwenye kitengo chako upige,kama ni nafasi ya kuchukua rushwa salama isiyoacha maumivu makali kwa mtoaji na wewe piga yaani usiiache nafasi yoyote ipite bure.

Mambo ni mengi muda mchache!!!
 
Lakini keeli eti eeh?

Sent from my HUAWEI RIO-L01 using JamiiForums mobile app
 
MultiChoice Tanzania imemteua Nehemiah Kyando Mchechu kuwa mkuu wa bodi ya wakurugenzi uteuzi ulioanza rasmi Agosti 1, 2022

Multichoice wamesema wana imani kubwa na uwezo na uzoefu wake uliomfanya kuwa moja ya wakurugenzi mahiri hapa nchini.

Pia, soma=> BAJETI: DStv yaunga mkono TOZO ya king'amuzi. Yataka 'Free chanels' zisiwepo ili Serikali ikusanye zaidi

Sina wivu nae hivi hakuna watanzania wengine wa kupata hizo posho. Mtu mmoja yupo zaidi ya Board nne.
 
Nakumbuka eti, Mramba akituambia tule nyasi; alikuwa bosi wa Precision pia, ATC ikajifilia mbali.

Mkuu wa bodi Multichoice, Mkurugenzi NHC

Mkurugenzi Tanesco, sijui nani nani Jakaya foundation kule

Ngoja tuone
 
Lakini keeli eti eeh?

Sent from my HUAWEI RIO-L01 using JamiiForums mobile app
Nimekwambia mkuu na lishike sana hili!

Hii nchi hakuna tena mwenye uchungu nayo wala mwenye uchungu wa kufanya kitu kwa ajili ya ndugu yako maskini aliye kijijini,mtoto wako huko shuleni wala mzazi wako anapopewa matibabu chini ya kiwango,in short tumeachwa tunatapa tapa!
 
Hao wanataka free channels zisiwepo ili watu wasiwe na altrenative zaidi ya kulipa, they are profit driven
 
Ameshauri ujinga kbs tozo hajui inawaumiza watu wa chini hasikii hizi kelele zinavyozidi mxiiiu zake.
 
Back
Top Bottom