Ngoja Magufuli aje atakiona cha moto 😀 😀 😀 😀 😀MultiChoice Tanzania imemteua Nehemiah Kyando Mchechu kuwa mkuu wa bodi ya wakurugenzi uteuzi ulioanza rasmi Agosti 1, 2022
Multichoice wamesema wana imani kubwa na uwezo na uzoefu wake uliomfanya kuwa moja ya wakurugenzi mahiri hapa nchini.
Pia, soma=> BAJETI: DStv yaunga mkono TOZO ya king'amuzi. Yataka 'Free chanels' zisiwepo ili Serikali ikusanye zaidi
Kulalamika tu bado hakuleti faraja still utafanya wanachokitaka wao kama kununua utanunua kama kuwa blocked usipolipia utakuwa blocked.Huyo ni tatizo kubwa, yeye ama wao tozo haziwahusu ndio maana wameongeza shilingi elfu tano kuanzia kifurushi cha Compact na kuendelea tangu tarehe moja Sept kumbe ni kwa upuuzi na ushauri wa huyu!
Magu huko uliko barikiwa japo kwa hili ambalo ulilitenda kwa huyu mpigaji
Sent from my HUAWEI RIO-L01 using JamiiForums mobile app
Lakini keeli eti eeh?Kulalamika tu bado hakuleti faraja still utafanya wanachokitaka wao kama kununua utanunua kama kuwa blocked usipolipia utakuwa blocked.
Tafuta chance na wewe kwenye kitengo chako upige,kama ni nafasi ya kuchukua rushwa salama isiyoacha maumivu makali kwa mtoaji na wewe piga yaani usiiache nafasi yoyote ipite bure.
Mambo ni mengi muda mchache!!!
Sina wivu nae hivi hakuna watanzania wengine wa kupata hizo posho. Mtu mmoja yupo zaidi ya Board nne.MultiChoice Tanzania imemteua Nehemiah Kyando Mchechu kuwa mkuu wa bodi ya wakurugenzi uteuzi ulioanza rasmi Agosti 1, 2022
Multichoice wamesema wana imani kubwa na uwezo na uzoefu wake uliomfanya kuwa moja ya wakurugenzi mahiri hapa nchini.
Pia, soma=> BAJETI: DStv yaunga mkono TOZO ya king'amuzi. Yataka 'Free chanels' zisiwepo ili Serikali ikusanye zaidi
Nimekwambia mkuu na lishike sana hili!