Nekst wiki najikata zangu mbele

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Posts
54,762
Reaction score
59,204
Unajua nini? laif bongo miyeyushoo,baada ya kusafa long taim nini hatimaye juzi asubuhi kitabu changu cha kijani wamekichafua pale ubalozini.sir God hamwachi mja wake..ci unajua? laif la hapa miyeyusho labda uwe na mchongo wa maana kama kina riz 1 ila mzee mzima ukiwa kachala kama mimi utapiga lapa daile.basi wana mimi nitawamegea life la mbele na mishemishe za huko .msikonde mazeiya.
 
Jf is in transition period frm Home of Great Thinkaz to hut of fools.....
 
nani mgeni wa safari????aaahh dogo jitahidi ukue looool
wewe ndio unatakiwa ukue...cku hizi zama za dingi mnoko zimeisha..kama mwanao anakata kitabu achana na unoko.
piga lapa cha kuleta za kuleta..kuna jukwaa la lugha kule..here we having some fani..kajadili mgao wa umeme kule
 
oyooo warap?🙂🙂🙂 mbele kwa ukkweli ile mbaya nimeingia kwenye mdude mmoja kama treni wenyewe masafa yake ni chini ya ardhi i mean underground. no umeme wa mgao wazungu whites pigs kila mahali.yap
 

Where are u going?
 
Jamani na mimi next wk natoka mpwapwa 2 dar nimeambiwa dar kazi nyingi, majumba makubwa makubwa, magari madogo lakini yanakimbia sana, yakikua mbio zinazidi. Life la mpwapwa lishakuwa gumuuuu.
 
watu wana vichupi tu duh!! inabidi nivue mgamba wangu wa bongo
via i phone 4
 
kweli kuna tofauti kubwa sana kati yetu na wao.kila kitu kipo arranged ..so simple.. Nitawapa ma -updates kwa wenzangu mimi wanaopenda mamtoni ila hawana hio nafasi for now.
 
CCM oyeeeeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…